Posts

PICHA ZA AJALI YA ARUSHA ILIYOUWA WATU 12 JANA

Image
                   Watu wakishuhudia ajali hiyo Baadhi ya abiria waliopoteza maisha kwenye ajali hiyo. Waokoaji wakipandisha miili ya abiria waliopoteza maisha kwenye ajali. Ajali hiyo imetokea maeneo ya Denishi Barabara ya Moshi Arusha ambapo katika Ajali hiyo Gari aina ya Toyota Hiece  imegongana na roli la mafuta ambapo watu tisa walipoteza maisha papo hapo.

AJALI MBAYA YATOKEA ARUSHA

Image
Ajali mbaya Arusha zaidi ya watu kumi wanasadikika kufa Taarifa zaidi Tutazidi kukujuza

TRENI YAANGUSHA BEHEWA MAENEO YA VINGUNGUTI

Image
Tren yaangusha behewa just now maeneo ya vingunguti reli imeharibika vibaya ffu wamesha wasili hatakiwi MTU eneo hilo kulikua na kontena za mhamed enterprises na Azam. Angalia Picha. CHANZO NI KUKATIKA KWA PINI LOCK AMBAYO IKASABABISHA JANGA HILO.

AUAWA KWA KUPIGWA NA NONDO KICHWANI

Image
            Majirani wakiuangaliwa mwili wa marehemu Mgimba Mwili wa marehemu Merkion Mgimba(Msuruisi) ukiwa katika eneo la tukio, pembeni ni mkewe bi Theopora Luoga Majirani wakiwa wneo la tukio Jeshi la polisi wilayani Ludewa likiondoka eneo la tukio Mtu mmoja  aliyefahamika kwa jina la Merkion Mgimba(Msuruisi) miaka 70 mkazi wa Ludewa Kijijini katika wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe ameuawa kwa kupigwa nondo kichwani usiku wa kuamkia tarehe 28 oktoba 2014 akiwa nyumbani kwake na watu wasiojulikana. Akitoa taarifa katika eneo la tukio mke wa marehemu Bi.Theodora Luoga alisema kuwa marehemu alitoka ndani majira ya saa 5 usiku kwa lengo la kujisaidia haja ndogo lakini ghafla alikutana na mtu nje ya nyumba yake na kuanza kupambana naye ndipo alipozidiwa nguvu na kukimbilia ndani akipiga kelele. Bi.Theodora alisema baada ya kusikia kelele hizo sebuleni alilazimika kutoka chumbani ili aende kutoa msaada kwa mumewake lakin...

EMMANUEL OKWI AONGEZA MKATABA WA MIAKA MIWILI SIMBA

Image
Kiungo mshambuliaji wa Simba, Mganda, Emmanuel Okwi, ameongeza  mkataba wa  kuichezea timu hiyo akisaini miaka miwili. Awali, kiungo huyo mwenye kasi kubwa uwanjani, alisaini mkataba wa miezi sita ya kuichezea timu hiyo akitokea Yanga, akiondoka kwa mgogoro mkubwa. Meneja wa kiungo huyo, Abdulfatah Saleh,alisema kuwa Okwi ameongeza mkataba huo baada ya kufikia makubaliano ya pande mbili kati yao na klabu hiyo. Abdulfatah alisema, awali kiungo huyo alisaini mkataba mfupi wa kuichezea Simba ili kupisha kesi iliyopo kati yake (Okwi) na Yangailiyomfungulia mashtaka kwa madai ya kukiuka makubaliano  yaliyokuwepo kwenye mkataba. Aliongeza kuwa, mara baada ya kumalizika kwa kesi hiyo iliyosimamiwa na Kamati yaSheria, Maadili na Hadhi za Wachezaji ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ndiyo akaongeza mkataba huo mwingine. “Okwi ameongeza mkataba mwingine wa kuichezea Simba, amesaini mkataba wa miaka miwil...

MAGAZETI YA LEO

Image

AJALI UBUNGO LORI LA MAFUTA LAGONGA KULIPUKA

Image
- Lapelekea kuwepo foleni kubwa kwa watumiaji wa barabara ya Morogoro - Ajali hii ilitokea saa 9 usiku wa kuamkia leo -