Popular posts from this blog
KINGUNGE AENDELEA KUMLILIA LOWASSA, ASEMA SIO FISADI KAMA ANAVYOSEMWA
Mwanasiasa Mkongwe katika medani za siasa nchini Tanzania Kingunge Ngombale Mwiru ameibuka na kuzungumza na Waandishi wa Habari leo kuhusiana na mchakato wa kumpata mgombea Urais CCM uliopelekea jina la Mbunge wa Monduli Edward Lowassa kukatwa. Akizungumza katika mkutano huo Kingunge amesema Kamati ya Maadili huko nyuma ilikuwa ni chombo cha kuandaa taarifa ili kuisadia Kamati Kuu katika kuwajadili wagombea lakini safari hii Kamati ya Maadili imefanya kazi isiyowahusu kikatiba ikiwemo kukata majina ya wagombea. Amesema Kamati ya Maadili ya Chama cha Mapinduzi (CCM) yenyewe imekosa maadili ya kuheshimu katiba na taratibu za chama kwa kujipa madaraka ya kupeleka majina 5 kwenye kamati kuu, ambayo ilipaswa kuhoji wagombea wote 38. “Kuna baadhi ya watu waliamua kuitumia Kamati ya Maadili kuandaa watu wao na kuwakata wengine kwa sababu zao.” Amesema Kingunge. Kingunge amedai kwamba CCM ni cham...









Comments
Post a Comment