Posts

HOTUBA YA MH. ZITTO KABWE KUHUSU HALI YA NCHI KATIKA MKUTANO WA KIDEMOKRASIA WA ACT WAZALENDO

Image
Ndugu Mama Anna Elisha Mghwira, Mwenyekiti wa Taifa wa Chama cha Wazalendo, Ndugu Viongozi wote wa chama katika ngazi mbalimbali Ndugu Wanachama Ndugu wageni waalikwa Ndugu wananchi Mabibi na Mabwana Karibuni Sana! Ninayo furaha na heshima kubwa kusimama mbele yenu na kuhutubia kwa mara ya kwanza katika Mkutano wa Kwanza wa Kidemokrasia wa Chama chetu. Mkutano wa kidemokrasia ni kikao pekee rasmi cha kikatiba katika chama chetu ambapo viongozi na wanachama wanakutana ana kwa ana na kubadilisha mawazo kuhusu chama na maendeleo ya nchi yetu kwa ujumla. Aidha, katika mkutano huu tunawaalika wageni mbalimbali kutoka nchi na vyama marafiki kwa ajili ya kubadilisha uzoefu katika nyanja mbalimbali. Mkutano wa Kidemokrasia ni kikao cha aina yake kwa kuwa wanachama na waalikwa wengine wanahudhuria kwa hiari yao na kwa gharama zao. Muhimu zaidi ni kwamba katika kikao hiki hata wananchi wasio wanachama wanakaribishwa kuhudhuria ili wasikilize na kushiriki kutoa maoni ...

BABU WA LOLIONDO NA WANANCHI WA SAMUNGE WAMZUIA MSAFARA WA MKUU WA MKOA WA ARUSHA

Image
Wadau wa Habari katika picha ya pamoja na Babu wa Samunge Mchungaji Ambilikile Mwasapila(pili kulia) maarufu  Babu wa Samunge Mch. Ambilikile Mwasapila (kushoto) akiwa na Nteghenjwa Hosseah mdau wa Habari. Babu wa Samunge ni miongoni mwa wananchi waliozuia Msafara wa Mkuu wa Mkoa.     Mkuu wa Mkoa wa Arusha (pili kushoto) akionyeshwa mipaka ya eneo la Shule ya Msingi Samunge na viongozi wa kijiji cha Samunge.  Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Mrisho Gambo akienda kukagua eneo la shule ya Msingi Samunge lililovamiwa na Bw. Lemind Njuda (hayupo pichani).            Migogoro ya ardhi katika wilaya ya Ngorongoro Mkoani Arusha juzi iliingia katika sura mpya baada ya wananchi wa kata ya Samunge wilayani humo akiwemo babu wa kikombe cha dawa, Mchungaji Ambilikile Mwaisapile waliandamana na kufunga barabara na kuzuia msafara wa Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo ili watatuliwe mgogoro wa ardhi ya shule iliyoporwa na diwani mstaafu wa kata...

ANGALIA HAPA VIDEO YA MWANAFUNZI ALIYEPEWA KIPIGO NA WALIMU AKISIMULIA MKASA HUO

Image
Huyu ndiye Mwanafunzi aliepigwa na waalimu zaidi ya watatu. Blog ya #MbeyaYetu  imemtembelea na ameelezea mkasa mzima. 

ETI HUYO JAMAA NDIO BINGWA WA KUTOBOA WATU MACHO ( SCORPION) HIZI NYWELE ALINYOLEWA BAADA YA KUPIGWA AU? SIONI UHUSIANO WA PICHA HIZI (TAZAMA VIDEO)

Image
                  

BARAZA KUU LA CUF LAMFUTA UANACHAMA PROF LIPUMBA

Image
Baraza Kuu la Uongozi la Chama cha Wananchi (CUF) Taifa lililokutana Zanzibar leo limemfukuza uanachama Mwenyekiti wa chama hicho Taifa, Prof. Ibrahim Lipumba. Taarifa kutoka katika mkutano chama hicho unaeleza kuwa, wajumbe wote waliohudhuria wamepiga kura ya kuridhia kufukuzwa uanachama kwa Prof. Lipumba. Hatua hii imekuja ikiwa ni siku chache tangu Prof. Lipumba kurejea na kusema kuwa yeye ni mwenyekiti halali wa chama hicho kufuatia maamuzi yaliyotolewa na Msajili wa Vyama vya Siasa, Jaji Mutungi. Baraza Kuu la Uongozi la Taifa la CUF limefikia uamuzi huo kwa mujibu wa Katiba ya Chama, Ibara ya 10 (1)(c).

MTANGAZAJI WA CLOUDS TV ATEULIWA KUWA MKURUGENZI WA WILAYA

Image
    Hudson Stanley Kamoga   mtangazaji wa kipindi cha Clouds 360 cha Clouds Tv  Leo Septemba 10, Rais Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa Wakurugenzi wa Halmashauri za Wilaya 11, Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji 1 na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa 1 ili kujaza nafasi zilizokuwa wazi katika Halmashauri hizo. Miongoni mwa Wakurugenzi wa Halmashauri walioteuliwa, yumo pia mtangazaji wa kipindi cha Clouds 360 cha Clouds Tv kinachorushwa kila siku kuanzia jumatatu hadi Ijumaa. Hudson Stanley Kamoga ameteuliwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Mbulu mkoani Manyara. Hii sio mara ya kwanza kwa Rais Magufuli kuteua watangazaji kushika nyadhifa mbalimbali kwani alimteua aliyekuwa Mtangazaji wa ITV, Godwin Gondwe kuwa Mkuu wa Wilaya ya Handeni. Wakurugenzi wengine walioteuliwa leo ni pamoja na;- Mwailwa Smith Pangani – Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo Godfrey Sanga – Halmashauri ya Wilaya ya Mkal...

TETEMEKO KUBWA LA ARDHI LAIKUMBA MWANZA NA KAGERA

Image
Mchana wa  leo Mikoa ya Kanda imekumbwa na tetemeko la ardhi ambapo nyumba kadhaa zimebomoka na inadaiwa kuna vifo kadhaa