Posts

MAGAZETI YA LEO IJUMAA MACHI 18,2016

Image

PICHA: RAIS MAGUFULI AKIWAAPISHA WAKUU WA MIKOA WAPYA LEO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Kamishna Mwandamizi Msaidizi wa Jeshi la Polisi,Zelote Steven Zelote kuwa mkuu wa mkoa wa Rukwa,Hafla hiyo fupi ya kuwaapisha Wakuu hao wa Mikoa imefanyika leo Ikulu,jijini Dar na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Meja Jenerali Mstaafu Salum Mustafa Kijuu kuwa mkuu wa mkoa wa Kagera,Hafla hiyo fupi ya kuwaapisha Wakuu hao wa Mikoa imefanyika leo Ikulu,jijini Dar na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Meja Jenerali Mstaafu Raphael Mugoya Muhuga  kuwa mkuu wa mkoa wa Katavi,Hafla hiyo fupi ya kuwaapisha Wakuu hao wa Mikoa imefanyika leo Ikulu,jijini Dar na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali.   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Meja Jenerali Mstaafu Ezekiel Elia...

WASIFU WA KATIBU MKUU WA CHADEMA DR. VICENT B. MASHINJI

Image
Professional experience Clinical Advisor & TB/HIV lead UMSOM-IHV July 2008 - Present ART Program Doctor/IMA team lead IMA Worldhealth August 2006 - June 2008 (1 year 10 months) Medical Officer/Anaesthesiology Regency Medical Centre October 2005 - August 2006 (10 months) Medical Officer Muhimbili National Hospital August 2003 - October 2005 (2 years 2 months) Research Assistant Freelance November 2002 - August 2003 (9 months) Intern Docor Muhimbili National Hospital September 2001 - October 2002 (1 year 1 month) Education history Open University of Tanzania PhD August 2010 - Present AMREF/UCLA Anderson School MDI Certificate April 2010 - April 2010 Blekinge Institute of Technology MBA September 2007 - March 2010 (2 years 6 months) UMSOM-IHV IPEP Certificate May 2008 - May 2008 Evin School of Management Certificate in CSR October 2005 - October 2005 Muhimbili University College of Health Sciences MMed/Anaesthesiology September 2003 - April 2005 (...

JOB NDUGAI ATOA KIBALI CHA KUKAMATWA MBUNGE USIKU WA MANANE

Image
JOB NDUGAI (SIPIKA WA BUNGE)ATOA KIBALI CHA KUKAMATWA KWA MBUNGE USIKU WA MANANE. Majira ya saa saba ( 7:23 )usiku huu Wa manane hapa gold crest Hotel jijini mwanza. POLICE Wamemngongea chumba chake ESTER BULAYA na kumkamata.... Wanatutafuta nini? Kosa halijajulikana

VIONGOZI WA CHADEMA WAANZA KUWASILI MWANZA

Image
Viongozi wa ngazi ya juu wa Chadema wameanza kuwasili jijini Mwanza ikiwa ni siku moja kabla ya kufanyika vikao vya juu vya chama hicho. Leo, wajumbe wa Kamati Kuu wakiongozwa na Mwenyekiti, Freeman Mbowe watawasili jijini Mwanza. Taarifa iliyotolewa jana na Mkuu wa Idara ya Habari wa Chadema, Tumaini Makene ilieleza kuwa Kaimu Katibu Mkuu, Salum Mwalim ameshawasili  na Naibu Katibu Mkuu Bara, John Mnyika na wakurugenzi wengine walitegemewa kuwasili muda wowote kwa ajili ya kikao cha Sekretarieti inayokutana kabla ya kile cha Kamati Kuu inayoketi kwa siku mbili kuanzia leo. Baada ya kuwasili jijini Mwanza, Mwalimu alikutana na waratibu wa kanda zote za chama hicho ambako alipokea taarifa fupi ya maandalizi ya awali ya vikao vya Sekretarieti, Kamati Kuu na Baraza Kuu ambalo litaketi Machi 12 kisha kufuatiwa na kikao kingine cha Kamati Kuu Machi 13 asubuhi na jioni kutakuwa na mkutano mkubwa wa hadhara katika Viwanja vya Furahisha. Machi 14, sekretarieti itakutana tena kuhitimi...

ATUPWA JELA MIAKA 7 KWA KUMKATA MKEWE SEHEMU ZA SIRI ILI APATE UTAJIRI

Image
Mkazi wa Kata ya Mbugani, Manispaa ya Tabora, Mashaka Maziku (60) amehukumiwa kifungo cha miaka saba jela kwa kosa la kumkata sehemu za siri mkewe kwa imani za kishirikina ili apate mali. Hakimu Joctan Rushwela alisema jana kuwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa wa Tabora imeridhishwa na ushahidi uliotolewa upande wa mashtaka. Hakimu Rushwela alisema anamhukumu mshtakiwa huyo kwenda jela ili iwe fundisho kwa wengine wanaokuwa na tamaa ya kujipatia mali kwa njia za kishirikina. Awali wakili wa Serikali, Idd Mgeni alidai kuwa mshtakiwa huyo na mganga wa jadi, walitenda kosa hilo kati ya Oktoba 29 na Novemba 2, 2014 katika eneo la Kazaroho Kata ya Mbugani, Manispaa ya Tabora. Wakati wa tukio hilo, ilidaiwa kuwa Maziku aliambiwa na mganga huyo ambaye ni mshtakiwa wa pili katika kesi hiyo, Kahele Paul kwamba akipeleka sehemu za siri za mkewe atapata Sh5milioni. Alidai baada ya kupewa ushauri huo, alimchukua mkewe na kwenda kumnywesha pombe ili aweze kutimiza ukatili h...

HABARI ZILIZOPO KATIKA MAGAZETI YA LEO MACHI 10/2016

Image