Posts

MAMA JANETH MAGUFULI AMKARIBISHA MKE WA RAIS WA VIETNAM BI.MAI THI HANH OFISINI KWAKE

Image
Mke wa Rais wa Vietnam, Bi. Mai Thi Hanh (kushoto) akifurahia zawadi ya kinyago cha kuchonga alichokabidhiwa na mwenyeji wake mama Janeth Magufuli kama zawadi 9 Machi, 2016 katika ofisi za Mke wa Rais Jijini Dar es Salaam. Mke wa Rais wa Vietnam, Bi. Mai Thi Hanh akisaini kitabu cha wageni mara alipowasili katika ofisi za mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Janeth Magufuli (kulia) 9 Machi, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Mke wa Rais wa Vietnam, Bi. Mai Thi Hanh (mwenye gauni jekundu) akisalimiana na akina mama waliompokea mara alipotembelea katika ofisi za mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Janeth Magufuli 9 Machi, Ikulu Jijini Dar es Salaam. Mke wa Rais wa Vietnam, Bi. Mai Thi Hanh (kushoto) akimpa zawadi mama Janeth Magufuli ikiwa shukurani yake mara alipotembelea katika ofisi yake 9 Machi, 2016 Jijini Dar es Salaam.

TANZIA:ALIYEGUNDUA BARUA PEPE (E MAIL) AFARIKI DUNIA

Image
Ray Tomlinson, raia wa Marekani, ambaye ndiye aliyevumbua utumaji wa barua pepe (e-mail) amefariki dunia.Tomlinson amefariki akiwa na umri wa miaka 74.Mgunduzi huyu aliibuka na wazo la kutuma ujumbe wa kieletroniki kutoka mtu mmoja hadi mwingine kupitia mitandao mbali mbali mwaka 1971.Aliandika ujumbe wa kwanza wa barua pepe wakati akifanya kazi Boston, kama Mhandisi wa kompyuta.Pia alikuwa mwanzilishi wa matumizi ya alama "at"(@)kuwa ndio alama kuu ya utumaji wa barua pepe.Wakati wa uhai wake Tomlinson alisema hawezi kukumbuka barua pepe yake ya kwanza ilielezea nini.           Raymond Tomlinson, widely credited as the inventor of modern email, died Saturday.Raytheon Co, his employer, on Sunday confirmed his death.Email existed in a limited capacity before Tomlinson in that electronic messages could be shared amid multiple people within a limited framework. But until his invention in 1971 of the first network person-to-person email ...

WALIMU MWANZA WAKAMATWA KWA KUJIHUSISHA KIMAPENZI NA WANAFUNZI WAO

Image
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Aamuru Kukamatwa Papo hapo Walimu 8 Kwa Kujihusisha na Mapenzi na Wanafunzi Walimu wanane wa Shule ya Sekondari Mihama, Kata ya Kitangili, Wilaya ya Ilemela Mkoani Mwanza, wamesimamishwa kazi, watano kati yao wakishikiliwa na polisi kwa tuhuma za kufanya mapenzi na wanafunzi. Pia, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Magesa Mulongo aliyetembelea shule hiyo jana, amevunja bodi ya shule hiyo baada ya kubainika kutofanya kikao hata kimoja tangu ilipoteuliwa Aprili 24, 2013. Pamoja na Mkuu wa Shule, Joseph Malifedha, walimu wengine waliotiwa mbaroni jana ni Rodrick Uroki, Denis Sanga, Edmund Boaz, Steven Samuel. Walimu watatu waliokuwa wakifundisha shuleni hapo, lakini wakahamishwa na hivi sasa wanasakwa na polisi kwa tuhuma hizo ni Joseph Lamongi na Joeza Mzava waliohamia Sekondari ya Sangabuye pamoja na Abdallah Mtelwe aliyehamia Tanga. Malifedha anadaiwa kuwachangisha fedha wanafunzi wa kidato cha kwanza na cha tatu kwa ajili ya picha za kuweka kwenye vitambulisho (passpo...

MAGAZETI YA LEO MACHI 5/2016

Image

MAGAZETI YA LEO MACHI 5/2016

Image

JE UNAFAHAMU ALICHOKIONGEA LEO ROSE ODINGA KUHUSU OLDUVAI GORGE? SOMA HAPA.

Image

USILOLIJUA KUHUSU ITIKA TRUCKING & MARINE GENERAL AGENCIES

Image
        ITIKA TRUCKING & MARINE GENERAL AGENCIES , Ni wakala wa usafirishaji mizigo Majini na nchi kavu, ni kampuni iliyosajiliwa kwa namba  291225  tarehe 11 November 2014  pia inajishughulisha na kazi za umwagaji vifusi barabarani, hivyo basi iwapo unakazi yoyote iwe ya kutoa makontena Bandarini, kusafirisha mzigo wowote,  kusafirisha mzigo nje ya nchi na hata nje ya Bara la Africa  kwa njia ya meli na ujenzi wa barabara na kazi zote zinazohitaji gari kuanzia tano usisite kuwasiliana nasi tutahakikisha kazi yako inaisha vizuri na mzigo wako unafika salama. Pia hata wewe mwananchi unakaribishwa kufanya kazi pamoja nasisi pindi usikiapo kuna kazi yoyote mahala popote unakaribishwa.                                   Usafirishaji Mizigo kwa njia meli                  Usafirishaji mizigo ya aina zote ...