JIFUNZE KUTENGENEZA BIDHAA ZA VIWANDANI ONLINE, MILIKI KIWANDA


Je ulipitwa na mafuzo haya kipindi kile yalipovuma? Je umechoka kuishi maisha ya kukopa kopa kwa sababu mshahara haukutoshi? Je ungependa na wewe siku moja uitwe BOSS kwa kuajiri wengine na kuwalipa mshahara? Je wewe ni kijana umemaliza kidato cha Nne / Sita / Chuo na upo tu nyumbani bado hujajua cha kufanya? usibweteke ujuzi hauzeeki  jifunze jinsi ya kutengeneza bidhaa za Viwandani na uweze kumiliki kiwanda chako hata nyumbani kwa gharama ndogo za uendeshaji huku  ukianza na mtaji usioweza hata kununua suruali ambao utakupelekea kuwa Milionea. Kwa Ada ya Tsh. 3,000/=  tu kwa kila somo moja unabadilisha historia ya maisha yako.  Masomo yapo 10 unaweza kujifunza yote ukipenda.
Dada ili urembo wako ukamilike ni lazima umiliki uchumi na Kaka ili utanashati ukamilike ni lazima umiliki uchumi. Usichelewe, jisajili sasa. Jinsi ya kujisajili : Lipia ADA ya kila somo moja ni Tsh. 3,000/=.
Unalipa kwenda Tigo Pesa +255 716 000 430 au M-Pesa +255 758 873 895. Ukishatuma hiyo pesa, tuma
meseji yenye majina uliyo tumia kwenye kutuma pesa  ikifuatiwa na namba unayo tumia WhatsApp utaunganishwa moja kwa moja kwenye group letu linaloitwa DREAM MAKERS na kisha masomo yataanza rasmi Tarehe 15 Februari 2016.
Masomo yatakayo fundishwa ni:
1)      Dawa ya kusafishia Vigae (TILES CLEANER)
2)      Dawa ya kusafishia Vioo (WINDOW CLEANER)
3)      Dawa ya kusafishia Kapeti (CARPET CLEANER)
4)      Dawa ya kuondoa uchafu sugu (STAIN REMOVER)
5)      Sabuni ya Unga (DETERGENT POWDER)
6)      Sabuni ya Mche (LAUNDRY SOAP)
7)      SHAMPOO
8)      AIR FRESHER
9)      Sabuni ya kunawia mikono (HAND WASH LIQUID)
10)   Mafuta ya kupaka (PETROLEUM JELLY)


>>> WAHI SASA, UJUZI HUFANYA MAISHA KUWA RAHISI<<<

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUKAA NA NGUVU ZA MUNGU SEHEMU YA KWANZA